Highlights | Simba SC 2-0 African Lyon – Mechi ya kirafiki 22/09/2020 AdminJuly 25, 2024047 views Magoli mawili kutoka kwa Chris Mugalu na Charles Ilanfya yameipa Simba ushindi wa 2-0 dhidi ya African Lyon katika mchezo wa kirafiki uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.… Read more