YOUTUBE Highlights | Simba SC 2-0 African Lyon – Mechi ya kirafiki 22/09/2020 AdminJuly 25, 2024046 views Magoli mawili kutoka kwa Chris Mugalu na Charles Ilanfya yameipa Simba ushindi wa 2-0 dhidi ya African Lyon katika mchezo wa kirafiki uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz source